TANZANIA NA ISRAEL KUSHIRIKIANA KWENYE UJUZI WA UZALISHAJI WA MBEGU NA MIFUMO YA UMWAGILIAJI

Nchi za Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya uzalishaji wa mbegu na kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Hayo yamezungumzwa leo Jijini Tel Aviv,Israel wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Kilimo wa Israel Mh. Oded Forer na Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mh. Anthony